top of page

Misheni
Nyumbani - Misheni
Kuwa kwenye misheni ni mojawapo ya maeneo makuu tunayofurahia kuyafanya kwa sababu watu wengi wanahitaji kusikia habari njema za Yesu Kristo.Tunatambua ya kwamba kueneza injili ni agizo kuu Yesu alituamuru kufanya. kwa vile huduma hii ni kwa ajili ya kuwafikia watu tunaona kwamba wengine hawahitaji chakula cha kiroho pekee, bali pia nyenzo na vitu vya kujikimu katika maisha yao ya kila siku. Zifuatazo ni moja ya misheni ambazo zimekamilika kwa msaada wa Roho mtakatifu
Kuwatembelea watoto yatima




1/4
Kufundisha/Kuhubiri Neno la Mungu

D 2

D 1

D 2
1/2
bottom of page