top of page
Logo.png
austin-kehmeier-lyiKExA4zQA-unsplash.jpg

SHIRIKI NASI

Tuna watu takribani bilioni 7.8 duniani, na  watu bilioni 2 ndio wanajulikana kama Wakristo. jambo ambalo linaonyesha kuwa bado kuna kazi kubwa ya kufanya ili Injili iwafikie wengi. tunaposubiri ujio  wa Bwana wetu Yesu kristo kwa mara ya pili.kazi hii haiwezekani kuifanya peke yetu.Shiriki pamoja nasi ili kwa pamoja tuweze kuwafikia wengi kwa ajiri ya ufalme wa Mungu.

pedro-lima-HtwsbbClBOs-unsplash.jpg
Jinsi gani unaweza kutusaidia
praying-25596_1280.png

Ombea Huduma

Ombea Huduma

Katika huduma yetu tunamtegemea Mungu kwa kila kitu. Ni kwa ajili ya heshima yake na ufalme wake. Kwa hiyo, tunahitaji maombi ili kuendeleza kazi yake.

Bofya hapa kujua jinsi ya kutuombea.

Megaphone.png

Shiriki Huduma

Huduma yetu inahusu kuwafikia watu: Wakristo na wasio Wakristo. Ikiwa unajua mtu yeyote anayeweza kusaidika kwa namna moja ama nyingine na kile Mungu amekiachilia kupitia huduma hii  waweza kutuma kwake.Hapa utapata nyenzo na uwezekano wa kufanya hivyo.

Changia Huduma

katika ulimwengu huu hakuna kitu kinachofanya kazi bila fedha. Tunahitaji fedha ili injiri iweze kuwafikia watu .

Angalia hapa jinsi unavyoweza kuchangia na jinsi tunavyotumia pesa.

®© Hakimiliki™
© 2022 na Japhet Mkondya Ministries. Inaendeshwa na UniPegasus Infotech Solutions.
  • Instagram
  • Facebook
  • YouTube
bottom of page